Leo ni sikukuu ya kuzaliwa kwa Nuh Mziwanda,Maganga One nachukua fursa hii kwa kumpongeza kijana huyu siku ya leo.Mungu ampe maisha mrefu yenye furaha na amani.tukiwa pamoja nyumbani tutasheherekea siku hii.

Pongezi sana bwana mdogo kwa sikukuu yako ya kuzaliwa,Pichani Maganga One akimpongeza kijana Nuh Mziwanda kwa sikukuu yake ya kuzaliwa leo hii.Pembeni kwa Nuh ni mchumba wake na Nuh msanii Shilole.kwa matukio zaidi ya sherehe yake unaweza kumfollow Nuh mwenyewe kwenye ukurasa wake wa instagram.
Shilole akimlisha keki mchumba wake Nuh Mziwanda leo hii katika kumpongeza kwenye siku yake ya kuzaliwa.