![]() |
| Asalaam Aleykum
MASJID KUBAH NA MADRASAT RAHMAN SEGEREA, DAR INAWAKARIBISHA KATIKA MAULID SIKU 9 HADI 10 MAI 2015
Segerea,Dar-es-salam,
Tunawataarifu waislamu wote kuwa tutakuwa na shughuli Haulia ya kisomo cha maulid ya kumsalia mtume Muhammad (s.w.a) katika Msikiti wa masjid Kubah na Madrasat Rahman ,Segerea mwisho,Tabata Dar-es-salaam siku ya 9 na 10 Mai 2015 mnakaribishwa wote na madrsa wanazotaka kushiriki tafadhali pigeni simu na. 0767617961 au 0712840960 pia 0777000036 karibu sana.
Ungana nasi at https://www.facebook.com/
|
.jpg)
0 Comments