Asalaam Aleykum

MASJID KUBAH NA MADRASAT RAHMAN SEGEREA, DAR INAWAKARIBISHA    KATIKA MAULID SIKU 9 HADI 10 MAI 2015

Segerea,Dar-es-salam,

Tunawataarifu waislamu wote kuwa tutakuwa na shughuli Haulia ya kisomo cha maulid ya kumsalia mtume Muhammad (s.w.a) katika Msikiti wa masjid Kubah na Madrasat Rahman ,Segerea mwisho,Tabata Dar-es-salaam siku ya 9 na 10 Mai 2015,Ratiba ya Kushughuli kuanzia hasubui ya jumamosi 9 Mai 2015 kisomo cha kinamama (wanawake) mchana kutakuwa na madrasa na kisomo cha wanafunzi  jioni hadi siku ya 10 Mai 2015 Kisomo cha haulia na Maulidi mnakaribishwa wote na madrsa wanazotaka kushiriki tafadhali pigeni simu na. 0767617961 au 0712840960 pia 0777000036 karibu sana.