Hali ya mvua kubwa leo hii kisiwani Zanzibar imeleta madhara makubwa kwa wengi wa wakazi kisiwani hapo.Baadhi ya ofisi za serikali nazo zimeathirika kwa kiasi kikubwa kutokana na mvua hiyo.Maganga One team inawapa pole wale wote walioathirika kwa namna moja au nyingine kutokana na mvua hiyo.