Leo ndio siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kuwaona wale wasanii wawili wenye vionjo vya kipekee wakiwa jukwaani,tunawazungumzia Shilole a.k.a. Shishi Baby ama Shilole kiuno na Nuh Mziwanda a.k.a Mziwonder Nation.Kwa pamoja watakinukisha katika jiji la Antwerpen usiku wa leo.

Jinsi ya kufika ukumbini.
Ukitokea Antwerpen Centraal,panda Metro line namba 3 mpaka mwisho,shuka na upande basi namba 81,82,83,84 au 85 mpaka Beveren round about kisha shuka na kufuata barabara kuu[Main Road] ni kama mita mia tu kwa kutembea na miguu.

Adress
Jeugdcentrum Togenblik
Gravenplain 1
9120 Beveren

Professionals Djs leo watakinukisha.
Dj Pk wa hapa Belgium
Dj Rashid Brown  kutoka Uk

Njoo umependeza,njoo ushuhudie kiuno cha kinyamwezi kinakatwaje,njoo umshuhudie Nuh Mziwanda akikuchezesha Msondo Ngoma kwa staili ya kipekee.
Ukipotea piga simu 0499 912 945 Jamal, kwa maelekezo
au namba 0493318373 Rose