Leo jioni saa kumi na robo kwa saa za Afrika Mashariki timu mbili pinzani Dar es Salaam Young Africa na Azam Fc wataingia uwanjani kumenyana katika hatua ya robo fainali ya kombe la Kagame.

Timu zote zina hari nzuri ya ushindani na kila mmoja ameahidi ushindi kwa mwenzake.