Baada ya siku 29 za mfungo wa Ramadhani hapa barani ulaya leo tumehitimu kwa kusheherekea sikukuu ya Eid El Fitr.Pichani C.E.O. wa Maganga One Blog akitoa mikono ya heri ya Eid  kwa vijana Nabir na Nusayr 

Wana Mol wakiwa na waumini wenzao wa mara tu baada ya sala ya Eid asubuhi ya leo.Tunamshukuru Mungu kwa kumaliza mfungo huu salama.