Chief Eddy akipiga push up kazini kwake nchini Ubelgiji kuikubali kauli mbiu ya Rais mpya wa awamu ya tano nchini Tanzania,Mh:John Pombe Magufuli ya kusema HAPA KAZI TU..Camera ya Maganga One ilinasa tukio hili ilipomtembelea Chief Eddy.
Hapa ni kazi tu.Eddy akiendeleza libeneke lake kazini pindi tu camera ya Maganga One ilipomnasa kwenye eneo lake la kazi.Chief Eddy amempongeza sana Rais Magufuli kwa kasi aliyoanza nayo na kutoa ushauri wake kwa Rais kwamba wembe huu alioanza nao aendeleze hivhivi ili kuisogeza nchi mbali zaidi kimaaendeleo.
0 Comments