Ndugu Ally Ahmad Mlangi [Kaidar] wa Mol Ubelgiji,anatangaza kufanya kisomo cha kumuombea mama yake mzazi aliyefariki usiku wa kuamkia jumanne ya tarehe 17 nyumbani Afrika.Kisomo kitafanyika siku ya jumamosi ya tarehe 21.11.2015 saa nane kamili mchana kitongojini MOL[Ubelgiji].
Jinsi ya kufika tunaomba mpige namba hii kwa maelezo zaidi- 049 394 0250.
Tangazo hili linamuhusu kila mmoja wetu,tunaomba kila atakayejaaliwa kuja in sha Allah aje kwenye kisomo cha mama wa mwenzetu.

Jumamosi
Tarehe 21.11.2015
MOL
Saa NANE kamili mchana.

Maelezo zaidi 0493 940 250 
Wabillah Taufhiq.