LEO NI SIKU YA KUZALIWA "MAMA WA MITINDO" BI.ASYA KHAMSIN
Leo ndio siku ya kuzaliwa mwanamtindo na mbunifu maarufu wa mitindo ya mavazi wa kimataifa Bi.Asya Idarous Khamsin "Mama wa Mtindo" mtanzania aliyejizolea na anaendelea kuiwakilisha Tanzania kimataifa katika fani ya mitindo ya mavazi.
Tunamtikia kila la kheri,afyaa njema,maisha bora,maisha marefu,na furaha ya maisha.
HAPPY BIRTHDAY "MAMA WA MITINDO" BI.ASYA KHAMSIN
0 Comments