Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu jijini
Dar es Salaam jioni ya leo December 30, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, na kulia ni Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakisikiliza kwa makini.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akijiandaa kumkabidhi  Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue orodha ya Makatibu na Manaibu Katibu Wakuu aliowateua huku Waziri
Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akishuhudia.

PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu
katika Wizara mbalimbali.

Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;

Katibu
Mkuu Kiongozi



Balozi - Ombeni
Sefue

Katibu
Mkuu Ikulu



Peter Ilomo

Ofisi
ya Rais, Utumishi na Utawala Bora



Dkt. Laurian
Ndumbaro




Ofisi
ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)



Mhandisi Mussa
Iyombe (Katibu Mkuu)

Dkt. Deo  Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu - Afya)

Bernard Makali
(Naibu Katibu Mkuu - Elimu)




Ofisi
ya Makamu wa Rais



            Mbaraka
A. Wakili ( Katibu Mkuu)

            Mhandisi
Ngosi Mwihava (Naibu Katibu Mkuu)




Ofisi
ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu)



Erick Shitindi
(Katibu Mkuu Kazi na Ajira)

Mussa Uledi
(Katibu Mkuu Bunge)

Dkt. Hamis
Mwinyimvua (Katibu Mkuu - Sera)




Wizara
ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi



Dkt. Frolence
Turuka (Katibu Mkuu - Kilimo)

Dkt. Mashingo
(Katibu Mkuu Mifugo)

Dkt. Budeba
(Katibu Mkuu - Uvuvi)




Wizara
ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano



Mhandisi Joseph.
Nyamuhanga (Katibu Mkuu - Ujenzi)

Dkt. Leonard M.
Chamuliho (Katibu Mkuu - Uchukuzi)

Profesa Faustine
R. Kamuzora (Katibu Mkuu - Mawasiliano)

Mary Sassabo
(Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano)




Wizara
ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi



Dkt. Yamungu
Kayandabira (Katibu Mkuu)

Dkt. Moses
Kusiluka (Naibu Katibu Mkuu)




Wizara
ya Maliasili na Utalii



Meja Jenerali Gaudence
S. Milanzi (Katibu Mkuu)

Anjelina Madete
(Naibu Katibu Mkuu)




Wizara
ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji



Dkt. Adelhem James
Meru (Katibu Mkuu - Viwanda)

Profesa Adolf F.
Mkenda (Katibu Mkuu - Biashara na Uwekezaji)

Mhandisi Joel
Malongo (Naibu Katibu Mkuu)




Wizara
ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.



Maimuna Tarishi
(Katibu Mkuu)

Profesa Simon S.
Msanjila (Naibu Katibu Mkuu)

Dkt. Leonard
Akwilapo (Naibu Katibu Mkuu)




Wizara
ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto



Dkt. Mpoki
Ulisubisya (Katibu Mkuu - Afya)

Sihaba Nkinga
(Katibu Mkuu - Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto)




 Wizara
ya Habari, Utamaduni,  Sanaa na
Michezo



Profesa Elisante
Ole Gabriel Mollel (Katibu Mkuu)

Nuru Halfan Mrisho
(Naibu Katibu Mkuu)




Wizara
ya Maji na Umwagiliaji



Mhandisi Mbogo
Futakamba (Katibu Mkuu)

Mhandisi Kalobero
Emmanuel (Naibu Katibu Mkuu)




 Wizara
ya Nishati na Madini



Profesa Justus W.
Ntalikwa (Katibu Mkuu)

Profesa James
Epifani Mdoe (Naibu Katibu Mkuu)

Dkt. Paulina
Pallangyo (Naibu Katibu Mkuu)




 Wizara
ya Katiba na Sheria



Profesa Sifuni
Mchome (Katibu Mkuu)

Suzan Paul Mlawi
(Naibu Katibu Mkuu)

Amon Mpanju (Naibu
Katibu Mkuu)




 Wizara
ya Mambo ya Ndani



Jaji Meja Jenerali
Projest A. Rwegasira (Katibu Mkuu)

Balozi Hassan
Simba Yahaya (Naibu Katibu Mkuu)




 Wizara
ya Fedha na Mipango



Dkt. Silvacius
Likwelile (Katibu Mkuu)

Dorothy Mwanyika
(Naibu Katibu Mkuu)

James Dotto (Naibu
Katibu Mkuu)

Amina Hamis Shaban
(Naibu Katibu Mkuu)




Wizara
ya Mambo ya Nje, Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa



Dkt. Aziz Mlima
(Katibu Mkuu)

Balozi Ramadhan
Muombwa Mwinyi ( Naibu Katibu Mkuu)




Wizara
ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Job D. Masima
(Katibu Mkuu 
Immaculate Peter
Ngwale (Naibu Katibu Mkuu



Makatibu
wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao hawajatajwa katika orodha hii
watapangiwa kazi nyingine.




Katika
hatua nyingine Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
amemteua Bw. Eliakimu Maswi kuwa Kaimu Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) na ametengua uteuzi wa Naibu Kamishina wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania Bw. Lusekelo Mwaseba, ambaye atapangiwa kazi nyingine









Gerson Msigwa



Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU


30 Desemba, 2015