| Bondia Thomas Mashali akikwepa konde la Francis Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana siku ya Krismasi. Mashali alishinda kwa point mpambambano huo usiokuwa wa ubingwa wa raundi kumi. Picha na Super D Boxing coach |
0 Comments