IMGS6659
Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa  akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Issa Machibya kuhusu bunduki iliyokatwa ili kupunguzwa urefu ambayo ilikamatwa na polisi mkoani Kigoma wakati ilipotumika katika uhalifu. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda kwenye Ofisi ya  Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma kukagua silaha mbalimbali zilizokamatwa na polisi  Desemba 28, 2015.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
IMGS6666
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa  akitazama kifaa kinachotumiwa na wahalifu kutengeneza  risasi za bunduki aina ya gobole wakati alipokagua silaha mbalimbali zilizokamatwa na polisi  mkoani Kigoma na kuhifadhiwa kwenye Ofisi ya Kamanda wa polisi wa mkoa huo, Desemba 28, 2015. 
IMGS6591
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizindua soko na Mwaro wa samaki wa Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28 , 2015.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Issa Machibya.
IMGS6621
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua dagaa wanaokaushwa kitalaam kwa kutumia jua wakati  alipozindua soko na Mwaro wa kisasa wa samaki wa Kibirizi  mjini Kigoma Desemba 28, 2015.
IMGS6625
IMGS6631
Mkazi wa Kigoma mjini akionyesha bango katika mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye soko la samaki la Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28, 2015.
IMGS6680
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikari Kuu na Serikali za Mitaa mjini Kigoma Desema 28, 2015. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya.
IMGS6677
Watumishi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipowahutubia mjini Kigoma Desemba 28, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).