ALLY NURDIN SIX  AFIWA NA BABA YAKE MZEE HASSAN NURDIN (R.I.P) MJINI MOSHI

 Marehemu Mzee Hassan Nurdin atazikwa siku ya  jumapili 10 Januari 2016  Saa 7.00 mchana makaburi    ya Njoro,Moshi Mjini



Mwanaharakati wa mabalozi wa usalama barabarani na ASAS YA WAZALENDO NA MAENDELEO TANZANIA ,Bw.Ally Nurdini Six amefiwa na Baba yake mzazi marehemu mzee. Hassan Nurdin (R.I.P) msiba huo umetokea majira ya saa 9.00 alhasir siku ya ijumaa tarehe 8.Januari 2016 .Marehem Mzee Hassan Nurdin alikuwa ameuguwa kwa mda wa miezi sita, na mtoto wake mkubwa Bw.Ally Nurdin Six alichukua likizo kuungana na familia mjini Moshi kwa ajiri ya kumuuguza mzazi wake,lakini mwenyezi mungu akamchukua kiumbe wake; merehem atasaliwa Msikiti kwa Mtei ambao uko jirani na CCM kata Mji Mpya'Mchomba Centre,atazikwa Saa 7 mchana siku ya jumapili 10 januari 2016 katika makaburi ya Njoro,Moshi Mjini.
Mwenyezi Mungu ampumzishe amlaze mahala pema peponi marehem.
Inna Lillahi wa inna Raji'un'
kwa maelezo zaidi na  Rambi rambi wasiliana na
Ally Six Nurdin 0686 777 979 0716 777 979
au Chief Daudi Mrindoko