Matanzania Mbwana Ally Samatta akitoa Tanzania kimasomaso kwa kunyakuwa mchezaji bora wa Mabingwa Afrika,Angalia video yake hii ya dakika chache jinsi alivyotangazwa mshindi hapo jana.