Bidada Sharon Maganga One {kulia} akiwa na shosti wake Cherie jana katika kusheherekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Sharon hapo jana.

Bidada Sharon akiwa na keki yake  pamoja na wenzake tayari kwa kuikata ili waweze kuila.

Mama mzazi wa Sharon kushoto kabisa akijumuika na watoto walifika kumsapoti Sharon kwenye sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa kwake hapo jana

Maganga One baba mzazi wa Sharon akitoa mkono wa pongezi kwa bintiye na zawadi 

Sharon na wenzake na wadogo zake wakiwa wanazikagua zawadi

Zawadi ya mama hiyooooo

Mzaa chema akitoa zawadi kwa bintiye

Sharon na rafikize wakijumuika katika chakula cha pamoja.


Bidada Talha akimlisha keki rafiki yake Sharon,jana ilikuwa sherehe ya kuzaliwa kwa bidada Sharon

Sharon akimlisha keki rafiki yake bidada Cherie

Bidada Sharon akimlisha keki kaka yake Rankeem Maganga One