Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January Makamba (Kushoto) akiongea na Balozi wa Uingereza nchini Bi. Dianna Melrose (katikati) . kulia ni Naibu Balozi wa Uingereza nchini Bw. Matt Sutherlal walipomtembelea Mh. Waziri leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kwa lengo la kufahamiana na kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Uingereza katika nyanja za Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini) |
0 Comments