Wachezaji wa Manchester United wakishangilia bao lao la 3 dhidi ya Arsenal leo hii katika uwanja wa Old Trafford.Manchester united leo imeendeleza ubabe wake kwa timu ya Arsena baada ya kuifunga jumla ya goli 3-2
Arsenal wakiandika moja ya bao lao leo hii dhidi ya Manchester United katika uwanja wa Old Trafford,Arsena ilala ugenin kwa kupachikwa jumla ya goli 3-2
0 Comments