![]() |
| Kikosi cha timu ya Krc Gent muda mfupi kabla ya mechi kuanza leo hii ilipopambana na timu ngumu ya Club Brugge. |
![]() |
| Baadhi ya wachezaji wa Krc Genk walishangilia goli la kusawazisha lililotokana kwa njia ya penati Mbwana Samatta alipachika goli la tatu na kuipa ushindi wa jumla ya goli 3-2 dhidi ya Club Brugge. |


0 Comments