Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Ligi ya Mpira wa kikapu ya vijana (Junior NBA) jijini Dar es Salaam Jumamosi kwa ku-shoot kikapu kwa ustadi. |
Rais Mstaafu DKT. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mchezaji Mwandamizi wa (WNBA) Allison Feaster katika uzinduzi huo jijini Dar es Salaam |
Sehemu ya mashabiki wa Mpira wa kikapu waliofika katika uzinduzi wa Ligi ya Mpira wa kikapu ya vijana,leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii) |
0 Comments