Akipiga stori na Showbiz Xtra, Harmonize anayebamba kwa sasa na Ngoma ya Bado alisema kuwa dairekta huyo ndiye aliyehusika pia kwenye kichupa cha Diamond akiwa na AKA wa Afrika Kusini kijulikanacho kama Make Me Sing.
“Ni mapema sana kuongelea gharama kwa kichupa hicho kwa sasa lakini niwaambie tu mashabiki imepangiliwa na dairekta Nicky kutoka Sauz,” alisema.
0 Comments