![]() |
Msanii Emmanuel Simwinga maarufu “ Izzo Bizness “ akitumbuiza
kwenye tamasha la pasaka la home sweet home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita. |
![]() |
![]() |
| Mamia ya mashabiki wakifurahia burudani toka kwa Izzo Bizness |
![]() |
| Yani ilikuwa shangwe wakati Izzo Bizness akitumbuiza jukwaani kwenye tamasha la pasaka la home sweet home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita. . |




0 Comments