Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akifanya Mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam jana. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akikatibishwa Ofisini kwake na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam jana.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akiwasili Ikulu Jijini Dar es salaam.Balozi Eng. John Kijazi akisaini kitabu cha wageni.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akizungumza na Baadhi ya Madereva wa Ikulu, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea maeneo mbali mbali ya Ikulu, Jijini Dar es salaam jana.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akizungumza na Baadhi ya Madereva wa Ikulu, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea maeneo mbali mbali ya Ikulu, Jijini Dar es salaam jana.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, akitembezwa maeneo mbali mbali ya Ikulu Jijini Dar es salaam jana.
Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Ofisini kwake, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, Ikulu Jijini Dar es salaam jana.
Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, akifanya mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, Ofisini kwake, Ikulu Jijini Dar es salaam jana, Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo.
PICHA NA IKULU.
0 Comments