Ifike mahala tukubali tu kwamba nchi yetu imejaaliwa vipaji,hapa utakubaliana na mimi kwamba Judith Wambura "Komando" jina hili hakubahatisha.sikiliza kibao chake kisha kirudie tena na tena halafu usisite kumtumia na mwenzako.