Dear brothers and sisters.
Assalaam alaykum.
Sifa njema zote anastahiki Allah(sw).Pia shukrani kwa wote ambao wamekuwa bega kwa bega nami bila kujali usumbufu wangu kwao.
Ndugu zangu kwa muda sasa nimekuwa nikiwasiliana na madaktari wa hospitali iliyoko china( Beijin Puhua international hospital). Baada ya kuielezea hali na kuwapelekea ripoti zangu za afya,walinitumia majibu na kunieleza kuwa wameshafanya kesi nyingi kama yangu na hivyo wanaweza kutibu kwa kutumia njia zote mbili yaani ya kisasa na Asili.Tiba itakayofanyika inaitwa STEM CELL TREATMENT.Ambapo baada ya hiyo kufanyika yafuatayo yaweza kuwa ni matokeo;
1.kurudi kwa hisia chini ya jeraha.
2.kuimalika kwa misuli ya mwili
3.movement ya viungo
4.kuweza ku control haja kubwa na ndogo n.k
GHARAMA YA TIBA HII NI DOLLA 50,000/=
HIVYO WAPENDWA BROTHERS NA SISTERS,KWA UNYENYEKEVU NAOMBA MSAADA WENU WA KIFEDHA ILI NIWEZE KUPATA TIBA.
NAMBA YANGU YA SIMU(TIGO PESA) +255715681380
0 Comments