Mshambuliaji wa Krc Genk,Mbwana Ally Samatta leo anaendelea kung'ara kwa timu yake baada ya kuandika bao la kwanza dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza dhidi ya timu pinzani ya Oostende.Mpira ukiwa unaendelea na hivi sasa ni mapumziko ila timu ya Krc Genk ilipata bao la pili dakika ya 39 kupitia mchezaji wao Leon Bailey.Mpaka sasa Krc Genk 2-0 Oostend.