Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (wa tatu kutoka

kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa wapya wa Mikoa ma Jenerali wastaafu

mara baada ya kuapishwa, walipomtembelea ofisini kwake Upanga Dar es

salaam. Kutoka kushoto ni Meja jenerali mstaafu Raphael Muhuga (Mkuu wa

Mkoa wa Katavi),Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (Mkuu wa Mkoa wa

Kagera),kutoka kulia Brigedia Jenerali mstaafu Emmanuel Maganga (Mkuu

wa Mkoa wa Kigoma) na Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga (Mkuu wa

Mkoa wa Geita).Kushoto kwa Mkuu wa Majeshi ni Mnadhimu Mkuu wa JWTZ

Luteni Jenerali Venance Mabeyo.