Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Maendeleo ya Michezo aliyepo katika Uwanja wa Taifa, Nsajigwa Gordon, kuhusu viti vilivyobadilishwa baada ya kuharibiwa na mashabiki, wakati wa ziara Uwanjani hapo leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akiwa katika ziara ya kukagua miundombinu ya Uwanja wa Taifa leo jijini Dar es Salaam.Katikati ni Afisa Maendeleo ya Michezo anayesimamia Uwanja wa Taifa Nsajigwa Gordon
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James akikagua Koki ya bomba la sink la kunawia katika moja ya choo cha Uwanja wa Taifa alipofanya ziara ya kushitukiza Uwanjani hapo leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akielekeza jambo mara baada ya kukagua mbaadhi ya vyoo vya Uwanja wa Taifa alipofanya ziara ya kushtukiza leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Maafisa wa Maendeleo ya Michezo Nsajigwa Gordon na Daniel Madenyeka(katikati).
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James akielezea jambo kuhusu uharibifu wa Koki za momba ya sink za kunawia katika moja ya choo cha Uwanja wa Taifa alipofanya ziara ya kushitukiza Uwanjani hapo leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Maendeleo ya Michezo aliyepo katika Uwanja wa Taifa, Nsajigwa Gordon.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akisalimiana na Meneja wa Uwanja wa Taifa Rish Urio (kulia) walipokutana katika ziara yake ya kushtukiza Uwanja hapo leo jijini Dar es Salaam.
Picha na: Frank Shija, WHUSM.
0 Comments