Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Apr 28, 2016

102.5 LAKE FM MWANZA, INAKUPA FURSA.

102.5 Lake Fm, Raha ya Rock City #Radio ya Wananzengo ni Redio Mpya Jijini Mwanza ambayo bado iko katika matangazo ya majaribio. inatoa fursa kwa wasikilizaji wake kupiga picha wakishow love na kuzipost katika mitandao yake ya kijamii ya Instagram, Facebook na Twitter @lakefmmwanza 


Hii ni Kampeni ambayo inajulikana kama "Raha yako ya Rock City ni nini" ambapo wasikilizaji kutoka katika makundi mbalimbali hueleza Raha yao ya Rock City ni nini. Tembelea mitandao ya kijamii ya redio hiyo kujionea. Binagi Blog imekudondoshea baadhi ya picha hizo. Juu ni miongoni mwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Saut Mwanza. Hakika hii ni fursa yako, itumie.


Kutoka Chuo cha Saut.
Kutoka Jijini Mwanza, Kutana na Nelia
Kutoka Barmedas.Tv
Msanii Black D kutoka Jijini Mwanza
Kutoka Chuo Kikuu Saut na Barmedas.Tv kutana na Ramzul
Kutoka Kampuni ya Visimbuzi Ting, Kutana na Pierre (Kushoto) na Agness (Kulia)
Kondakta Jijini Mwanza
Kondakta na Madereva wa Ibanda-Mzunguko Jijini Mwanza
Dereva Bodaboda Jijini Mwanza
Dereva Bodaboda Jijini Mwanza
Dereva Bodaboda Jijini Mwanza
Said Tembo, Mwenyekiti wa Muungano wa Machinga Mkoani Mwanza
Moshi Maketa, Katibu wa Muungano wa Machinga Mkoani Mwanza
Mama Tausi, Mwenyekiti wa Mama Lishe Jijini Mwanza
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP