Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mwenyekiti wa CHADEMA na
kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe  wakati alipokwenda kumpa pole
 kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe,
nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016
.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo
cha kaka yake   Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge,
Freeman Mbowe   (kulia kwake) wakati alipokwenda kumpa pole  kufuatia
kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani
kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na
wanafamilia wakati alipokwenda  kumpa pole   Mwenyekiti wa CHADEMA na
kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe     kufuatia kifo cha kaka
yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu,
Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwanasiasa
mkongwe,Kingunge Ngombale- Mwiru  wakati alipokwenda  kumpa pole  
Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe    
kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe,
nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)