Klabu bingwa Tanzania Dar es Salaam Young African leo imelazimisha sare ya goli 1-1 na timu ngumu barani Afrika klabu ya Al Ahly ya Misri.Waliotangulia kuliona lango la wenzao ni wageni wa mchezo klabu ya Al Ahly baada ya kuanza kupachia bao dakika ya 11 ya mchezo.Yanga walijipatia bao la kusawazisha dakika chache baada baada ya mchezaji wa Yanga kupiga krosi safi na beki wa Al Ahly kujifunga mwenyewe.
0 Comments