Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

May 24, 2016

AUDIO: RIPOTI KAMILI YA TAMASHA LA JEMBEKA FESTIVAL 2016 JIJINI MWANZA.Jumamosi, May 21,2016 ilikuwa siku kubwa kwa
Wakazi wa Jiji la Mwanza, baada ya kudondoshwa Show Kali ya Jembeka Festival 2016
ikiwa ni msimu wa pili mwaka huu.Mkurugenzi wa Jembe Media Group, Mhe.Nape Nhauye, Mhe.January
Makamba, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Wasanii Diamond Platnumz, Elizayo HB, Fid Q pamoja na wadau wengine wengi wamezungumzia tamasha la Jembeka Festival 2016.
BONYEZA HAPA Kusikiliza au Play Hapo chini.

Bonyeza HAPA Kutazama Picha za Jembeka Festival 2016.
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP