Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amefungua Mkutano wa mashauriano wa bodi ya usajili wa wakandarasi katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam na kuwataka wakandarasi hao kufanya kazi kwa kutanguliza maslai ya Taifa.