Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

May 2, 2016

NGOMA AFRICA BAND YAWATAKIA HERI YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni au viumbe wa ajabu Anunnaki aliens inayoongozwa na mwanamuziki mashuuri Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja inaungana na wadau wote wa habari duniani kwa kuwatakia kila la heri na baraka wanahabari na vyombo vyao kwa kusherehekea siku ya Uhuru wa Habari duniani.Bendi inaungana na wadau wote wa habari kwa wimbo maarumu wa "Uhuru wa Habari" utunzi wake kamanda ras Makunja .
Sikiliza song: Uhuru wa Habari.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP