Mrembo mkali wa Bongo Flava ambaye juzi kati kaachia kichupa chake kipya cha nyimbo yake inayofanya vyema hivi sasa kwenye Tv mbalimbali na Club za burudani ndani na nje ya nchi,huyu si mwingine ni Queen wa Igunga Shilole ama Shishi baby.Hapa unaweza kuiangalia video yake huku akiwa maemshilikisha msanii mkali bongo Barnaba Classic kwenye Chorus.
0 Comments