Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (wa tatu kushoto) akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichofanyika leo katika ukumbi wa Tamisemi Mjini Dodoma,(wa pili kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.]