Swahili TV ilifanya coverage ya Part ya Mwisho ya Mpendwa wetu, Andrew Nicky Sanga. Sherehe ilikuwa kubwa na kujumuisha watanzania kutoka kila kona ya Marekani.