Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

May 29, 2016

Uturuki yasema imewaua wapiganaji 100 wa IS

Jeshi la Uturuki linasema kuwa mizinga yake imewaua wapiganaji zaidi ya mia moja wa IS nchini Syria.
Waturuki wanasema waliwalenga wapiganaji hao, ambao walikuwa wanakaribia kurusha makombora kushambulia Uturuki, upande wa pili wa mpaka, hapo jana.

Lakini haijulikani vipi jeshi la Uturuki, liliweza kuhisabi idadi hasa ya hasara iliyosababisha, katika eneo linalodhi-bitiwa na IS, na hakuna njia ya kuripoti kutoka eneo hilo

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP