Wadau wa Globu ya Jamii jijini London Uingereza hivi karibuni walikutana pamoja katika Mghahawa wa Britania, uliopo Canary Wharf, na kupata mnuso wa jioni, wakiongozwa na Mdau muandamizi wa Libeneke hili, Chris Lukosi (wa pili kulia).