Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

May 31, 2016

Wafanyakazi wataka Waziri aondolewe

Wafanyakazi katika wizara inayopambana na rushwa nchini Brazil wameshindikiza kuondolewa kwa waziri wake mpya.
Maandamano hayo yanafuatiwa kutolewa kwa video ambayo Fabiano Silveira anatuhumiwa kusikika akikosoa uchunguzi wa rushwa katika kampuni ya mafuta ya serikali,Petrobras.Juma lililopita waziri wa mipango wa nchi hiyo
alilazimishwa kuachia madaraka baada ya kukumbwa na shutuma kama hizo.Viongozi wote hao wawili walichaguliwa baada ya Rais Dilma Rousseff alipoondolewa madarakani.Amekuwa akisisitiza kwa muda mrefu kuwa mashitaka yaliyoundwa dhidi yake ni kwa ajili tu ya kuzuia upelelezi.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP