Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

May 18, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASABAHIANA NA VIONGOZI WA MKOA WA MOROGORO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakati aliposimama kwa muda mfupi mjini hapo akiwa njiani kuelekea Dodoma akitoka Dar es salaam May 18, 2016. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa huo, Dk. Stephene Kebwe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP