Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jun 22, 2016

Marekani na kura ya Uingereza

Mkuu wa kitengo cha shirikisho la uhifadhi nchini Marekani ,Janet Yellen,{pichani juu} ametupilia mbali hoja ya Marekani kuingia kwenye kipindi cha mpito na kuyumba kwa uchumi wake endapo Uingereza itajiondoa katika umoja wa ulaya.

Wakati akijibu maswali kutoka katika kamati ya Senate Yellen amesema kipindi cha mpito na kuyumba kwa uchumi wa nchi yake hakutokani ama haitakuwa chanzo cha kura hiyo, hakuna ajuaye nini kitatokea.
Ameeleza imani yake kwa wawekezaji kwamba watafanya maamuzi sahihi na kuamua kwa busara katika masoko ya fedha, ambako italeta taswira bei shirikishi na viwango vya juu vya riba kwa wakopaji walio wengi.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP