Maganga One blog katika nasanasa zake jumamosi hii kwenye BBQ ya mtoto Birgit iliwanasa madada hawa pichani.Hatukuweza kuyapata majina ya wahusika ila kati yao ni Team Antwerpen na salamu zao ni kuwatakia waislamu wote duniani Heri ya mfungo wa Ramadhani.