Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jun 22, 2016

UZIBUAJI WA MITARO UKIENDELEA JIJINI MWANZA.

Uzibuaji wa Mitaro ukiendelea katika Mitaa mbalimbali ya Katikati ya Jiji la Mwanza. Pongezi za dhati kwa Uongozi wa halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa zoezi hili maana lisipofanyika kwa muda mrefu, mitaro hii huziba, mvua inaponyesha huwa Mitaa ya Jiji haitamaniki tena na inapoteza hadhi ya Jiji la Mwanza.
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP