Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jun 21, 2016

WATENDAJI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUTANA KUPITISHA MPANGO KAZI NA MPANGO WA MANUNUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2016/17


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto meza kuu) akizungumza katika Kikao cha kupitisha Mpango Kazi na Mpango wa Manunuzi kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 wa Wizara hiyo kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Kikao hicho kimehudhuriwa na Wakuu wa Idara na Taasisi za Wizara hiyo. Kulia meza kuu ni Naibu Katibu Mkuu, Balozi Simba Yahya.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto meza kuu) akizungumza katika Kikao cha kupitisha Mpango Kazi na Mpango wa Manunuzi kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 wa Wizara hiyo kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Kikao hicho kimehudhuriwa na Wakuu wa Idara na Taasisi za Wizara hiyo. Kulia meza kuu ni Naibu Katibu Mkuu, Balozi Simba Yahya. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP