Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 27, 2016

Askari Aliyemuua Mwangosi Afungwa Jela Miaka 15

zwalivyomwuawangosi
Askari wa kikosi cha  kutuliza ghasia (FFU) mwenye  namba G .2573 Pacificius Cleophace Simon (27)  
MAHAKAMA  kuu ya Tanzania  kanda  ya  Iringa  leo  imemuhukumu kwenda  jela miaka  15 kwa kosa la mauaji  ya  bila  kukusudia  askari wa kikosi cha  kutuliza ghasia (FFU) mwenye  namba G .2573 Pacificius Cleophace Simon (27)  aliyemuua mwandishi  wa  habari  wa  kituo  cha Chanel Ten Daudi  Mwangosi
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP