Julai 27 miaka kadhaa iliyopita, ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa Elizabeth Boniventure (kushoto) ambae ni miongoni mwa timu ya Wananzengo wa 102.5 Lake Fm Mwanza #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo.
Kama ilivyo ada, uongozi wa Lake Fm umemuandalia tafrija fupi, mitaa ya ofisini, Liberty Jijini Mwanza, ambapo Wananzengo wenzake wamejumuika pamoja kufurahia siku yake ya kuzaliwa kama picha zinavyoonekana.
BMG inakutakia Maisha Mema Mwananzengo Elizabeth Boniventure.
0 Comments