| Watoto wa ndugu yangu Hija wakifanya mazoezi kwa kuendesha baiskeli kwenye viwanja maalumu vya michezo kwa watoto,kutoka kushoto ni bidada Leila,katikakati ni kijana Paris na mwisho kulia ni Milan |
| Mwenyeji wetu mama Leila akitufungulia staftahi |
| Wakati tukiendelea kupata staftahi huku tukio la uchukuaji picha lichukua nafasi. |
| Maganga One na ndugu yangu Hija |
| Shekh Hija akiwa na Mama Maganga pamoja na mkewe mama Leila |
| Maganga One akiwa mitaani jijini Den Haag nchini Uholanzi katika matembezi yake ya likizo |
0 Comments