Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 21, 2016

MSUBI BINAGI KUIBUKA NA KIPINDI KIPYA CHA RUNINGA.

Inyake hii kutoka kwa coming up Star Actor/ Video King na Presenter Msubi Binagi. Usikose kumfuatilia kupitia akaunti yake ya Instagram @msubi_binagi ili upate updates kuhusu kipindi chake kipya cha Tv cha "Jua la Utosi" kitakachoanza kuonekana online na baadae katika runinga ambayo utatangaziwa. Pia utafahamu kuhusu filamu yake mpya itakayotoka hivi karibuni akiwa na timu yake.
Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP