Baada ya BBCSwahili kuchapisha picha ya rais wa Uganda Yoweri Museveni, akipokea simu kando ya barabara.
Museveni aketi barabarani kupokea simu

Image captionMaelfu ya waganda wamechukulia tukio hilo kwa ucheshi mno hata wengine utundu

Maelfu ya waganda wamechukulia tukio hilo kwa ucheshi mno hata wengine utundu..

Image captionWengine wanasambaza picha hiyo wakihoji kwanini rais mwenye heshma na taadhima kama yake, anatumia mali ya umma kwa namna hiyo

Wengine wanasambaza picha hiyo wakihoji kwanini rais mwenye heshma na taadhima kama yake, anatumia mali ya umma kwa namna hiyo
''eti kwanini maafisa hao wote wa usalama wanalazimishwa kusimama eti bwana Museveni azungumze na mpenzi wake Bi Janeth ilhali wangekutana naye jioni nyumbani ?

Image captionWengine wanahoji kama hilo halikuwa tukio la kujipigia debe

Wengine wanahoji kama hilo halikuwa tukio la kujipigia debe eti kwasababu serikali imetengeneza barabara hiyo inayounganisha Uganda na nchi jirani ya Tanzania?

Image captionJe hakukuwa na maswala mengine muhimu ya kitaifa ya kujadiliwa ?

Je hakukuwa na maswala mengine muhimu ya kitaifa ya kujadiliwa ?

Image captionWengine hata walimshangaa kiongozi huyo ambaye alikuwa akitumia simu ya bei nafuu

Wengine hata walimshangaa kiongozi huyo ambaye alikuwa akitumia simu ya bei nafuu isiyo ya kisasa!

Image captionWengi waliigiza chini ya kibwagizo #M7Challenge

Mmoja wa maafisa wake wa uhusiano mwema bwana Don Wanyama ndiye aliyetibua mjadala huo alipochapisha kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook

Image captionJe alikuwa kauliza maziwa ?

kuwa rais Museveni alikuwa amesimamisha msafara wake kwa dakika thelathini ilikupokea simu muhimu faraghani.

Image captionHata rais Robert Mugabe hakusazwa

Wanyama hakueleza kwanini Museveni aliketi kandakando mwa barabara hiyo muhimu lakini

Image captionWengine walimtania eti katua kwenye mwezi

Waganda walibuni sababu zao kwenye mitandao ya kijamii wengi wakimgoa na kumtania kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 71.